Maskini..Mrema Aongea kwa Uchungu Akimuaga Marehemu Mkewe - EDUSPORTSTZ

Latest

Maskini..Mrema Aongea kwa Uchungu Akimuaga Marehemu MkeweMWILI wa mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mzee Augustine Mrema, mama Rose Mrema umeagawa nyumbani kwake Salasala, Dar es Salaam jana Jumatatu, Septemba 20, 2021 kabla ya kupelekwa Kanisani kuagwa na kisha kuanza safari ya kwenda nyumbani kwao Vunjo kwa ajili ya maziko.


Mama Rose Mrema alifariki dunia Alhamisi ya Septemba 16, 2021 majira ya saa 8 mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz