Kimenuka..Mahakama Yaamuru Rick Ross Kumlipa Ex Wake Milion 25 Kila Mwezi - EDUSPORTSTZ

Latest

Kimenuka..Mahakama Yaamuru Rick Ross Kumlipa Ex Wake Milion 25 Kila Mwezi


BrianaSingleton Ambaye ni Ex na Mzazi Mwenzie Rapa @richforever 🇺🇲 Amepata Ushindi Baada Ya #Rozay Kukubali Agizo la Mahakama la Kumlipa Mrembo Huyo Takribani $11K (TSH.MILIONI 25.4) kwa Mwezi

Pesa Hiyo Inatajwa Kuwa Ni Kwaajili Ya Malezi Ya Watoto Watatu Kwa Mzazi Mwenzake Huyo, Kwa Mujibu Wa Tovuti Ya #TMZ

Hayo Yote Yanakuja baada ya Mahakama Kugundua Kuwa Rapa Huyu Anaingiza Takribani $600k (TSH.BILIONI 1.3) Wakati Ex Wake Anaingiza $142 (TSH.328,000) Kwa Mwezi

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz