Kanye West Hataki Mchezo Kabisa, Amfutilia Mbali Chris Brown kwenye Kolabo yao "New Again" iliyoko Kwenye Album - EDUSPORTSTZ

Latest

Kanye West Hataki Mchezo Kabisa, Amfutilia Mbali Chris Brown kwenye Kolabo yao "New Again" iliyoko Kwenye Album

Kanye West amefanya mabadiliko machache kwenye album yake "DONDA" ambayo ilitoka August 29 mwaka huu. Kanye amemuondoa kabisa Chris Brown kwenye Kolabo yao "New Again" lakini pia amefanya mabadiliko kwenye baadhi ya nyimbo kwa kufanya mixing upya kwenye wimbo kama 'JUNYA' na nyingine.

Chris Brown ni miongoni mwa wasanii ambao waliibuka na kumuangushia matusi Kanye West kwa kufuta verse zao kwenye album yake, CB alidai alishiriki kwenye ngoma mbili lakini alijikuta kwenye ngoma moja baada ya album hiyo kutoka. Sasa Kanye ameamua kumuondoa kabisa Breezy!Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz