Kesi ya watu watano wanaotuhumiwa kupanga na kusaidia katika mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001, imeanza tena Jumanne kwa kusikilizwa kwa hoja za awali baada ya kusitishwa kwa kipindi cha mwaka na nusu kwa sababu ya janga la corona.
elru87tYGBGEm
No comments:
Post a Comment