Diva Loveness "Mimi Ni mwanamke Mrembo zaidi Kushinda Wote Bongo" - EDUSPORTSTZ

Latest

Diva Loveness "Mimi Ni mwanamke Mrembo zaidi Kushinda Wote Bongo"Mtangazaji Mahili Hapa Tanzania Diva Amefunguka kuwa Hamna Mwanamke Hapa Tanzania Anayemzidi Yeye Kwa Muonekano Yani Kuanzia Shape na Sura Pia.

"Mimi Sijaona Kabisa Mwanamke Ambaye Anavutia Zaidi Kunizidi Mimi Hapa Tanzania"-Ameongea Diva.

TOA MAONI YAKO UNAONAJE HAPO?????

BIG YES AU BIG NO?????
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz