Drake na Soulja boy waachia album zao siku moja - EDUSPORTSTZ

Latest

Drake na Soulja boy waachia album zao siku mojaDrake ameamua kukata kiu ya mashabiki wake baada ya kuachia rasmi album yake CERTIFIED LOVER BOY (CLB) yenye jumla ya mikwaju 21 ya moto,kwenye #CLB Kuna vichwa Kama Jay Z,Lil Wayne, Future, Young Thug,Lil baby,Lil Durk,Travis Scott,na Tems, ni wakati wa mashabiki kusema nani mkali kati ya Drake na Kanye sababu album zao hazijapishana sana.


Ila pia Soulja Boy (Draco) nae ameachia album yake ya SWAG4 yenye ngoma 14
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz