Drake Afunguka Sababu ya Kuachana na Rihanna - EDUSPORTSTZ

Latest

Drake Afunguka Sababu ya Kuachana na Rihanna


Mambo yalianza kuonekana mwaka 2009 Mapicha picha ya hapa na Pale mara ghafla Wawili hao kutoonekana karibu tena kuanzia 2016 japo mpaka leo masshabiki hawajawahi kujua shida ilikuwa wapi wawili hao kufungiana vioo .

Mashabiki wana hakika kuwa Drake kupitia wimbo wake F*cking Fans kutoka kwenye album yake ya Certified Lover Boy ameeleza kuhusu kuvunjika kwa mahusiano yake na Rihanna " Kupitia album hiyo CLB ambayo siku yake ya kwanza tu tangu kuachiwa ilivunja rekodi ya kusikilizwa kwenye mtandao wa spotify .
.
mashabiki wanaamini Drake alikuwa akiongea juu ya Rihanna kwenye wimbo wake 'F * cking fans' na hii imefanya mashabiki kuwa makini wimbo huo sababu unaeleza undani wa Drake na Rihanna kuachana japo wameshawahi kufanya kazi pamoja ikiwemo wimbo wa "Work" and Take Care " Drake aliuambia Umma wakati wakitoa Tuzo za VMAs 2016 yeye na Rihanna kuwa alimpenda Rihanna toka ana miaka 22 ' kufuatia hilo Drake na Rihanna wakachora tattoo 😊 zinazofanana ambapo Rihanna alishazifuta ☺☺ .

Rihanna aliambia jarida la VOGUE Yeye na Drake sio wapenzi tena sasa Wimbo huo wa F*cking fans unadaiwq kueleza kila kitu kuhusu kutengana kwao .
Mstari wa kwanza wa wimbo unaanza kwa kusema:

"Bado ninafanya kazi juu yangu, Na ninarudi nikiwa bora kwako" Mara nyingi ilikuwa ni ubinafsi wangu na kutokuwa na msaada kwako Nilitumia fursa " Kisha aya hiyo inasema: "Samahani sana kwa kukuangusha". Baadaye rapa huyo anasema: "Ningekuwa nimerudi nyumbani, nikarudi nyumbani mapema. Labda ungekuwepo ikiwa ningekuja nyumbani. Nakupenda ningekutendea mazuri Ungekuwa bado upo". Drake pia anaonekana kukiri kumdanganya Rihanna , .

Mashabiki pia wanatafakari juu ya maneno kama: "Ni Vigumu kwangu kuhalalisha wanawake ambao nilikuwa ndani haswa wakati ulimwengu wote ulitamani ningekuwa nao" - moja kwa moja wakihisi inamhusu Rihanna kama vile inavyotakwa na wengi.

Drake pia aliweka wazi juu ya Udanganyifu alioufanya kwa mwanamke hatimaye kumpata mtoto wake adonis ambaye anasema hata hakupanga 😊 .

Rihanna sasahivi anaenjoy life na ASAP Rocky 😊

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz