Baba Levo Amtupia Dongo Bondia Hassan Mwakinyo "Anapigana na Wazee" - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba Levo Amtupia Dongo Bondia Hassan Mwakinyo "Anapigana na Wazee"


Mwanamuziki na mtangazaji wa kipindi cha Mgahawa cha Wasafi fM @officialbabalevo ametupa maneno yanayo tafsiriwa kama kijembe kwa Bondia #HassanMwakinyo baada ya pambano lake la jana.Kupitia insta story yake #BabaLevo ame share ujumbe huo, ikiwa ni baada ya bondia #HassanMwakinyo kushinda pambano lake dhidi ya bondia #JuliusIndongo kutoka Namibia kwa TKO kwenye round ya 4 tu ya pambano hilo na kutetea ubingwa wake wa Afrika (ABU) uzito wa Super Welter.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz