Aliyekuwa Mpenzi wa Wema Sepetu PCK Atangaza Kwenda Germany Kufanyiwa Upasuaji Awe Mzungu - EDUSPORTSTZ

Latest

Aliyekuwa Mpenzi wa Wema Sepetu PCK Atangaza Kwenda Germany Kufanyiwa Upasuaji Awe Mzungu


@official_pck ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram

"NDUGU ZANGU NAOMBA RADHI KWA YEYOTE AMBAE NINAWEZA KUA NIMEMKOSEA KWA NJIA MOJA AO NYINGI MIMI NI BINADAM SIJAKAMILIKA

TAREH 09 OCTOBER NITASAFIRI KWENDA NCHINI GERMANY 🇩🇪 KUFANYIWA SURGERY YA MWILI MZIMA

AMBAPO NITABADILISHWA MFUMO MZIMA WA MWILI WANGU NA KUWA NA MWILI WA KIZUNGU NA UPASUAJI HUO UTACHUKUA TAKRIBANI MASAA 53 MPAKA KUKAMILIKA NA KUANZIA HAPO NITAKUA MZUNGU

HATA MICHAEL JACKSON NAE ALIWAHI KUFANYA HIVYO NA KUA MZUNGU HIVYO NAOMBA DUA ZENU JUU YANGU NIWEZE KUTOKA SALAMA KWENYE CHUMBA CHA UPASUAJI" PCK
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz