Afariki Dunia Kwa Presha Baada ya Kuzinduka Kutoka Kwenye Koma na Kukuta Msiba Wake Wakitaka Kumzika - EDUSPORTSTZ

Latest

Afariki Dunia Kwa Presha Baada ya Kuzinduka Kutoka Kwenye Koma na Kukuta Msiba Wake Wakitaka Kumzika


UNAAMBIWA Mwanamke wa Urusi aliyekuwa anaitwa Fagilu Mukhametzyanov alifariki kwa presha akiwa kwenye msiba wake mwenyewe, ni kwamba akiwa Hospitali Daktari alisema ameshafariki hivyo shughuli za mazishi zikaandaliwa lakini kumbe Daktari alikosea kwani Fagilu alikua hai.

Siku ya kuzika akiwa kwenye Jeneza alipata fahamu na kushangaa kukuta umati nyumbani kwao Ndugu, Jamaa na Marafiki wakilia kwa uchungu alipouliza akaambiwa wanajua sababu waliambiwa yeye amefariki hapohapo presha ikapanda kwa mshtuko na akafariki kweli.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz