VIDEO: Nandy afunika Wiki ya Mwananchi, haijawahi tokea, levo za Michael Jackson - EDUSPORTSTZ

Latest

VIDEO: Nandy afunika Wiki ya Mwananchi, haijawahi tokea, levo za Michael Jackson

Msanii wa Bongo Fleva @officialnandy amewashtua na kuwashangaza wengi mashabiki na wanachama wa Yanga kwa kuingia Uwanja wa Mkapa kwa staili ya kipekee na kufanya ‘Show’ iliyowavutia waliyowengi. @officialnandy aliingia Uwanjani akiwa ndani ya ‘BOKSI’ huku akibebwa na mabaunsa walioshiba hasa kutokana na ukubwa wake .
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz