Kimenuka.. Mashabiki wa Yanga WARUKA Ukuta Taifa... - EDUSPORTSTZ

Latest

Kimenuka.. Mashabiki wa Yanga WARUKA Ukuta Taifa...Mashabiki wa #Yanga wameamua kuruka uzio wa Uwanja wa Uhuru ili kuingia Uwanja wa Mkapa baada ya utaratibu wa kuingia Uwanjani kuwa mgumu kutokana na idadi kubwa ya Mashabiki kujitokeza.

Kaa karibu na Kurasa zetu za Kijamii kupata habari na Matukio yote ya Kilele cha Wananchi


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz