Tanzia: Mama wa Waziri Jafo Afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzia: Mama wa Waziri Jafo Afariki Dunia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amepata msiba wa kufiwa na mama yake mzazi, aliyefariki usiku wa kuamkia leo Alhamisi, majira ya saa saba wakati akipatiwa matibabu katik

a Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.

Waziri Jafo amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa mama yake alikuwa akisumbuliwa na maradhi mbalimbali yaliyochangiwa na umri wake mkubwa, na kwamba anatarajiwa kuzikwa leo, Kisarawe mkoani Pwani.

“Mama yangu alikuwa mtu mzima kidogo takribani umri wa miaka 83, alikuwa akisumbuliwa na maradhi mbalimbali ikiwemo uti wa mgongo. Hivi karibuni aliugua nikampeleka Hospitali ya Kisarawe akalazwa akapata matibabu, bahati mbaya changamoto ikawa kubwa tukamhamishia Agha Khan ambako umauti umemkuta. Msiba utakuwa Kisarawe hapa nyumbani kwangu hapa Kisarawe ambapo tutamzika leo,” amesema Jafo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz