Tanzania Bado Sana Olimpiki..Mwanariadha Simbu Tuliyokuwa Tunamtegemea Ashindwa Vibaya - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzania Bado Sana Olimpiki..Mwanariadha Simbu Tuliyokuwa Tunamtegemea Ashindwa Vibaya

Mwariadha wa mbio ndefu kutoka Tanzania 🇹🇿 Alphonce Simbu amekosa medali katika mashindano ya riadha ya Olimpiki huko Tokyo, Japan baada ya kushika nafasi ya 7 katika mbio za 47km.


Mwanariadha huyo amefunguka kuwa alijipanga kushinda mbio hizo japo matokeo yamekuwa mabaya, amewaomba watanzania kujipanga upya kwa ajili ya mashindano mengine

“Tumemaliza mashindano salama, nimeingia kwenye kumi bora ya mbio hizi za Olimpiki, nilikuwa nimedhamiria kuweza kupambana kupata medali lakini sijapata.

 Read More: Nafasi za Ajira Serikalini na Mashiriki Binafsi Nimekuwekea Hapa  

“Naomba turudi nyumbani tuendelee kujipanga kwa mashindano mengine kwa sababu haya yameshapita kwa hiyo tuangalie mapungufu tuliyo nayo alafu tujiandae vizuri kurekebisha yale mapungufu, nashukuru sana,” Alphonce Simbu

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz