Rais wa Zambia awatimua kazi wakuu wa Jeshi, Polisi - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais wa Zambia awatimua kazi wakuu wa Jeshi, Polisi
Rais wa Zambia aliyechaguliwa hivi karibuni, Hakainde Hichilema hapo jana aliteua wakuu wapya wa jeshi na kuwabadilisha makamishna wote wa polisi baada ya kuahidi kukomesha ukatili wa polisi uliokuwa ukifanywa wakati wa utawala uliopita.Makundi ya kutetea haki za binadamu yalimlaumu rais wa zamani Edgar Lungu kwa kuukandamiza upinzani nchini humo, huku ukatili wa polisi ukitajwa kusababisha vifo vya watu watano tangu aingie madarakani mwaka 2016.

Binafsi Hichilema, amewahi kukamtwa mara kadhaa wakati akiwa katika shughuli zake za kisiasa na aliahidi kulishughulikia tatizo hilo katika kampeni zake za uchaguzi.Wakati wa uteuzi huo, Hichilema aliwasisitiza polisi kwamba hakuna mtu anayepaswa kukamatwa kabla ya uchunguzi kukamilika.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz