Paula Aonyesha JEURI kwa Fahyma "Amtaka Atoe Cheti cha Ndoa na Rayvann" - EDUSPORTSTZ

Latest

Paula Aonyesha JEURI kwa Fahyma "Amtaka Atoe Cheti cha Ndoa na Rayvann"

Kiufupi naweza sema mtoto kashakuwa, baada ya shabiki mmoja kumuuliza Paula kupitia Instagram kuwa "Unajua uchungu wa mume wew ila muonee huruma fahima umurudishie mume wake" 

PAULA alimjibu hivi 👇
Cheti cha ndoa please.!

Akiwa na maana kuwa Fahyma sio mke halali wa Rayvanny na kama ni hivyo basi alete cheti cha ndoa 

Rayvanny na Paula kwa sasa wanatoka kimapenzi na wameweka wazi penzi lao
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz