Mange Kimambi Afunguka KESI ya Mbowe "Nimeletewe Information Ambayo Imenipa Pozi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Afunguka KESI ya Mbowe "Nimeletewe Information Ambayo Imenipa Pozi"


Mange Kimambi Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika haya:

" Aisee kuna issue nimeelezwa kuhusu hii issue ya Mbowe.
Nachoweza kusema mimi ni tuwe na subra kidogo.
Nilibaki kidogo nigeuzie gia hewani ila nimeletewa information ambayo imenipa pause, inabidi nivute subra kidogo kabla sijakurupuka." Mange

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz