Msigwa "Serikali imeshafanya malipo ya awali ya ndege mpya tano zitawasili 2023"




Serikali tayari imeshafanya malipo ya awali ya ndege nyingine mpya tano ambazo zitawasili nchini mwaka 2023.



“Ujenzi wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaendelea vizuri na ujenzi wake umefikia 57%. Serikali kupitia TANESCO inaendelea kununua vifaa mbalimbali vya ujenzi vya kukamilisha ujenzi huo”
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dodoma.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post