Msami Baby Amchana Baraka the Prince "Baraka Acha Uharakati Mziki ni Biashara" - EDUSPORTSTZ

Latest

Msami Baby Amchana Baraka the Prince "Baraka Acha Uharakati Mziki ni Biashara"
Ukiachana na msanii @linexsundaymjeda ,msanii mwingine anayelalamika kuwa Muziki wa Bongo Flava umeharibiwa na baadhi ya wasanii wanaopewa kipaumbele sana siku hizi ni Baraka The Prince

Hasa tunaelewa Barakah na Msami wamekuwa wakizinguana sana kwenye mitandao ya kijamii,Barakah akimtuhumu msami kuwa hajui kuimba na anamtambua kama dansa na Msami akimtaka Baraka afanye muziki mzuri tu aache kulilia.

Akiwa kwenye Empire ya EFM,Msami kadai Barakah anachokifanya ni harakati kutaka kuwafanya watu wafanye anachokitaka ili baadae apate sifa kuwa yeye ndiye aliyefanya hilo litokee lakini mwisho wa siku haimsaidii kitu,haimpi mchongo.

Amemtaka jamaa aache muziki wa harakati bali afate soko linatakaje.

Hasa Barakah si kinyonge,atamjibu lazima ngoja tumpe muda.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz