Mkojani Atoboa Siri "Nikishikwa Chuchu Napiga Yowee" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mkojani Atoboa Siri "Nikishikwa Chuchu Napiga Yowee"Mchekeshaji @mkojani_bin_daruweshi ametusanua ni sehemu gani huwa akiguswa na mkewe wakati wa tendo huwa anatoa ukelele kama chizi lililokula ganja๐Ÿ˜‚.

Ni ngumu kuamini ila mkojani bana akiguswa chuchu tu uyoe unamtoka balaa๐Ÿ˜‚,hili ameliongea akiwa kwenye Lavidavi la Diva,Wasafi Fm.

Pia mkojani amedai huwa wanabadilisha shuka mara kwa mara sababu usiku una mambo mengi sio tendo tu,kuna kulala ukajikuta umetokwa udenda hadi sio vizuri shuka likachafuka.๐Ÿ˜‚.

Mjomba ana Comedy hadi kwenye real life. Kwani wewe ukiguswa wapi unasisimkwa

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz