Millard Ayo Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Ajali ya Gari ya Wafanyakazi Wake iliyochukua Uhai wa Wawili - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Millard Ayo Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Ajali ya Gari ya Wafanyakazi Wake iliyochukua Uhai wa Wawili


Leo imekua siku ngumu sana kwangu na AyoTV Team…. tumeondokewa na Marafiki zetu wawili na mmoja ni Mfanyakazi mwenzetu Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) na mwingine ni Rafiki yetu Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) waliekua wakisafiri pamoja kutoka Mwanza kuja Dar, wamepata ajali Kibaha wakiwa watatu tunamshukuru Mungu Mtu tatu ambae ni Khamis Abdallah Mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa @dullahtza (alievaa t-shirt nyekundu) amejeruhiwa na sasa anaendelea vizuri.

Daima tutawakumbuka Ndugu zetu hawa, daima tutamkumbuka Nellyson kama Kijana Mchapakazi, humble sana, mwenye kujituma na mwenye nidhamu kubwa sana ya kazi na hata nje ya kazi….. A VERY SAD DAY yani, Nelly alianza kazi hapa TZA (AyoTV) miezi michache tu iliyopita lakini alileta utofauti mkubwa na mchango wake unaonekana, kazi yake ya mwisho kuchukua picha za video ilikua ni interview ya Mtoto wa miaka 9 anaemsaidia Bibi yake Mgonjwa ambayo niliipost juzi…. #RIPNelly #PumzikaMkaliwetu #RIPMujitaba Tutaonana baadae Watu wangu πŸ™πŸΏ


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz