Marekani yaomba mataifa mengine kutoa misaada Afghanistan - EDUSPORTSTZ

Latest

Marekani yaomba mataifa mengine kutoa misaada AfghanistanMarekani imeomba darzeni ya mataifa kuwapa hifadhi raia wa Afghanistan waliyoko hatarini, wakati ikiendelea na juhudi za kuondoa raia wake pamoja na wanadiplomasia nchini humo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz