Mchezaji wa kulipwa mpira wa Kikapu Curry Steph aitembelea hifadhi Serengeti, Hashim Thabeet Wetu Nini Kilim - EDUSPORTSTZ

Latest

Mchezaji wa kulipwa mpira wa Kikapu Curry Steph aitembelea hifadhi Serengeti, Hashim Thabeet Wetu Nini Kilim

 

Wakuu Mcheza Kikapu Steph Curry anaekipiga GSW Yuko Tanzania Yeye na Mkewake.

Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti.

Curry amekuja mapumzikoni pamoja na kusheherekea miaka 10 ya ndoa yake na mpenzi wake aitwae Ayesha.

Nasikitika Kwa
Hashim Thabeet Kwa Sasa Alipo, Wakati Curry na Hashim wanatoka College Kwenye NBA, Hashim Alikuwa Namba 2 Kwa ubora kumzidi Curry, Sjui Ni Nini Kilimkuta Hashim Mpaka Akawa Hivi.​

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz