Mataifa zaidi yaokoa raiya wake kutoka Afghanistan - EDUSPORTSTZ

Latest

Mataifa zaidi yaokoa raiya wake kutoka Afghanistan




Washirika wa Marekani kutoka muungano wa NATO, wanaendelea na juhudi za kuokoa raia wao kutoka Afghanistan, wakati vikosi vya mwisho vya Marekani vikiendelea kuondoka nchini humo siku chache tu baada ya kuanguka kwa serikali ya Rais Ashraf Ghani.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz