Kwa Dhati Kabisa Tunatoa Shukrani za Dhati kwa mchango wako mkubwa Katika taasisi yetu ya #WasafiMedia kwa kuwa nasi bega kwa bega kuanzia Media changa mpaka leo imekuwa Media Namba Moja Nchini
Mbali ya ushiriki wako kwenye Media umetufundisha mengi na kutuonesha njia nzuri zaidi ili kutimiza Malengo ya WASAFI MEDIA kuwa chombo kikubwa cha Habari Africa na kulipa Heshima Taifa letu...🇹🇿 @mauldikitenge #KochaMchezaji #Kwaheri #AsanteTunashukuru
No comments:
Post a Comment