Diamond Platnumz Aandika Haya kwa Uchungu Baada ya Mtangazaji Maulid Kitenge Kujiondoa Wasafi FM - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond Platnumz Aandika Haya kwa Uchungu Baada ya Mtangazaji Maulid Kitenge Kujiondoa Wasafi FM
Reposted from @diamondplatnumz kwanza kabisa nikushukuru kwa mchango wako mkubwa Katika taasisi ya Wasafi Media, kwa kuwa nasi bega kwa bega kuanzia Media changa mpaka leo imekuwa Media Nambari Moja Nchini katika kila report....Hakika haikuwa rahisi,  shukran sana na sasa nina Amani ukirudi nyumbani..Mbali ya ushiriki wako kwenye Media, siku zote umekuwa ni kama kaka ama Uncle kwangu...na ninakuahidi kwenda kwa kasi ileile ambayo siku zote umenisihi kuifanya, ili kutimiza Malengo ya WASAFI MEDIA kuwa chombo kikubwa cha Habari Africa na kuzidi kulipa Heshima Taifa letu katika nyanja ya Habari...🇹🇿 @mauldikitenge #KochaMchezaji #Kwaheri #Icon #Chumvi #Jembe 💪🏼  
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz