Kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia wamuondoa ofisini Gavana wa Marekani - EDUSPORTSTZ

Latest

Kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia wamuondoa ofisini Gavana wa Marekani
Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa
 
Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden wamekuwa wakishinikiza Cuomo aachie Madaraka. Gavana Kathy Hachul atachukua nafasi yake na kuwa Mwanamke wa kwanza kuiongoza #NewYork


Cuomo ni Gavana wa tatu wa Jiji hilo kuondoka Madarakani kutokana na skendo

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz