Kanye West Hatabiriki Kabisa.. Watu Wapigwa na Butwaa Baada ya Kumuondoa Jay Z Katika Album Yake na Kumuweka Huyu Mwanamuziki Mpya


Siku Zote Rapa @kanyewest 🇺🇲 Huwa anafanya Vitu Anavyotaka Yeye 😄, Na Ameonekana Kuziondoa Verse Za #Jayz Kwenye Ngoma Aliomshirikisha Katika Album Yake Ya #DONDA

#Kanye Ameamua kumuweka Dababy Baada Ya Kutoa Verse Za #Hov (Jayz) Kwenye Ngoma Hiyo

Hii ni Baada ya Kufanya Listening Party Mjini Chicago Kwenye uwanja wa #Soldier Ambapo Mashabiki Walishtushwa Kwa Kumuona #Dababy Badala Ya Jigga

Hata hivyo Hadi Sasa bado Haijafahamika sababu za Rapa Huyu Kuondoa Verse Za Jayz Na Kumuweka #Dababy

Je, Unadhani Kwanini #KanyeWest Ameamua Kufanya Hivyo ??



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post