Kamati Yapendekeza Jerry Slaa AVULIWE Ujumbe wa Bunge la Africa



Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amepewa adhabu ya kuvuliwa Ujumbe wa Bunge la Afrika(PAP) na kutohudhuria mikutano miwili ya Bunge

Adhabu hiyo imekuja baada ya Kamati ya Maadili ya Bunge kujiridhisha kuwa alitoa kauli ya uongo kuhusu Mishahara ya Wabunge kutokatwa kodi

Aidha, wakati wa kusikiliza shauri lake, Jerry alionekana kutojibu maswali kama ilivyopaswa


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post