Essence ya Wizkid yaongoza kutafutwa Marekani kupitia Shazam - EDUSPORTSTZ

Latest

Essence ya Wizkid yaongoza kutafutwa Marekani kupitia Shazam
Kampuni ya kuuza muziki mtandaoni ya @shazam imempongeza staa wa muziki kutoka nchini Nigeria @wizkidayo kwa ngoma yake ya #Essence kuongoza kutafutwa mtandaoni nchini Marekani kupitia mtandao huo.

Ikumbukwe @wizkidayo aliifanyia ngoma hiyo Remix baada ya mara ya original yake kumshirikisha mwanadada @temsbaby kutoka nchini Nigeria lakini Remix yake akimuweka @justinbieber
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz