Hatimae R Kelly Akiri Kumdhulumu Kingono Msaniii Marehemu Aaliyah Akiwa na Miaka 15 tu - EDUSPORTSTZ

Latest

Hatimae R Kelly Akiri Kumdhulumu Kingono Msaniii Marehemu Aaliyah Akiwa na Miaka 15 tuMwanamuziki wa R&B Nchini Marekani, R. Kelly amekiri kushiriki Ngono na Msanii mwenzake Marehemu Aaliyah akiwa na umri wa Utoto

Ukiri wa R. Kelly umekuja ikiwa ni Miaka 30 imepita tangu wawili hao walipopanga kufunga Ndoa wakati R. Kelly akiwa na miaka 27 huku Aaliyah akiwa na miaka 15.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz