Harmonize na H Baba Waibukia Kwenye Movie ya Uingereza... Yumo Pia Awilo Longomba


Msanii wa Bongo Flava @harmonize_tz amegeukia kwenye upande wa uigizaji,hii ni baada ya Production Houses tokea Uingereza inayoitwa Billy Jeremiah Brown Films (BJB FILMS) kutangaza uwepo wa msanii huyo kwenye movie inayotarajiwa kutoka hivi karibuni inayoitwa “A LIFE TO REGRET”

Mbali na Harmonize, wasanii wengine wenye majina maarufu Afrika Mashariki waliopewa shavu kwenye movie hiyo ni pamoja na Awilo Longomba pamoja na H.Baba.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post