Gigy Money akataa kurudiana na Baba mtoto wake - EDUSPORTSTZ

Latest

Gigy Money akataa kurudiana na Baba mtoto wakeMsanii Gigy Money amejibu madai ya taarifa za kurudiana na mzazi mwenzie Mo Jay baada ya kuonekana wakiwa pamoja na mtoto wao Mayra.

Gigy Money amekanusha hilo kwenye 'Insta Story' yake kwa kueleza hajarudiana na mtu hivyo watu wasidanganywe na trending za story hizo mitandaoni, kilichotokea ni Mayra alikuwa anaumwa na baba yake kaenda kumuona.

"Sijarudiana na mtu jamani, naona natrend huko wanawadanganya tu, Mayra anaumwa na baba yake kaja kumuona nimependa jinsi wamecoperate kwa hiyo sioni kama ni kosa, mniache". comment ya Gigy Money 

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz