Beka Flavour ajibu ishu ya kuibiwa mpenzi Wake na Patrick Kanumba - EDUSPORTSTZ

Latest

Beka Flavour ajibu ishu ya kuibiwa mpenzi Wake na Patrick Kanumba

 


Msanii Beka Flavour amefunguka stori za kuibiwa mpenzi wake Happy Reuter na msanii wa filamu Patrick Kanumba kwa kusema stori hiyo haijamuumiza na ameona ni vitu vya kawaida.

Akifunguka hilo kupitia EATV & EA Radio Digital Beka Flavour anasema stori hizo ni za uzushi ujinga na hana mpango nazo.

"Hizo nimezichukulia poa tu hazijawahi kuniumiza, nimeona ni vitu vya kawaida sana hivyo vitu vipo na kila siku vinatokea, kuhusu story za baby mama wangu tuziache kwa sasa" amesema Beka Flavour

Kwenye mahusiano yao wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Aaryan Beka flavour.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz