Gigy Money Adata na Mwigizaji JB Amwandikia Ujumbe Huu Hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Gigy Money Adata na Mwigizaji JB Amwandikia Ujumbe Huu Hapa


 AMEANDIKA GIGYMONEY:-

‘’Tutoe kipaji ulicho kiona kwangu , wewe ni mtu ambae tangu Nipo shule nakutazama, nakuona Na nakuangalia lakini kufanya kazi kuwa ata karibu yako kwangu ni moja ya ndoto zangu kwani najua nimejitafuta Sana ila nimejipata kwani nilikua Na ndoto yakuifikisha hii tasnia yetu mbali kwa pamoja 🙏🏼 napenda Movie Sana Na nusu ya maisha yangu ni Tamthilia 😂 Nampenda sana JB sana and thanks for this opportunity I won’t disappoint you Sir @jb_jerusalemfilms’’

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz