Danie Craig (James Bond) Adai Akifa Watoto Wake Wasipe Urithi Wowote, Kisa na Mkasa Huu Hapaa - EDUSPORTSTZ

Latest

Danie Craig (James Bond) Adai Akifa Watoto Wake Wasipe Urithi Wowote, Kisa na Mkasa Huu Hapaa


Miongoni mwa waigizaji wenye mafanikio kwenye tasnia ya filamu ni Danie Craig (James Bond), hivi karibuni amefunguka kwamba hatowaachia watoto wake utajiri wa pesa zake pindi akiondoka duniani. Daniel Craig amepanga kuzitumbua zote mpaka umauti unamkuta.

Muigizaji huyo ambaye anakadiriwa kuwa na utajiri wa ($160 million) zaidi ya TZS. Bilioni 371 akiwa ana watoto wawili wa Kike, amesema suala la urithi ni dhana ambayo haina mashiko kwani anaamini kwenye kutoa na kutumia mali yako kabla hujaondoka duniani.

"Nafikiri urithi ni dhana isiyo na mashiko. Falsafa yangu ni kuzitumia au kutoa kwa njia ya misaada kabla hujaondoka duniani. Alisema Daniel Craig ambaye anaungana na mastaa wengine kama Jackie Chan, Gordan Ramsey, Sting na Simon Cowell ambapo wametangaza kutowaachia urithi watoto wao.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

1 comment:


  1. Ooh, old Mr. Joe he build a house, yeah
    On top of some hill
    Old Mr. Joe knew he had to go, so
    He got right down and wrote a will

    He say now here is to mother hen and her chicken
    Lord have mercy now
    Master will you take a roll in the mud
    Like he know he should

    The old barnyard, the old barnyard, birds and the chick
    Ooh-ee, who's got to watch out for brother mongoose
    With his top hap and walking stick
    It's just the poor's brainwashing

    They told me a long time gone
    It's just the poor's brain washing
    The old brain washing

    Now look at a thing like this
    Cinderella and her long lost fellow, in the midnight hour
    She lost her silver slipper

    Humpty dumpty sat on a wall, while Jack and Jill
    Had themselves a fall
    It's just the poor brain washing and I don't need it no longer
    RASTA DONT WRITE WILL..... RASTA HAANDIKI URITHI KWAKUWA NI DHAMBI KUJIHUKUMU..... KIFO ANAJUA MUNGU TU

    ReplyDelete

Edusportstz