Dababy aacha ku-rap na kuimba RnB kisa kuondolewa kwenye matamasha 6 kwa kauli za kibaguzi - EDUSPORTSTZ

Latest

Dababy aacha ku-rap na kuimba RnB kisa kuondolewa kwenye matamasha 6 kwa kauli za kibaguzi
Mwaka unaisha vibaya kwa Rapa Dababy Baada Ya kuondolewa Kwenye Matamasha sita(6) makubwa kufuatia Kauli aliyoitoa kwenye tamasha la ROLLING LOUD ambalo lilifanyika July 25 kwenye mji wa MIAMI,kauli hiyo ambayo Iliyotafsiriwa Kuwa Ya kibaguzi.Dababy amedai ameamua kuachana na Rap baada ya kupost kwenye instastory yake akiimba kionjo cha wimbo RnB akiwa na binti yake na kuandika

“They Done Cancelled Your Daddy Twin I’M switching To Rnb” Akimanisha Wamekamilisha kunitoa baba yako pacha,naamia kwenye RnB.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz