Breaking News: Kanye West Awashutumu Universal Kuachia Album yake Bila Idhini yake - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking News: Kanye West Awashutumu Universal Kuachia Album yake Bila Idhini yakeBaada ya album ya DONDA kutoka,mmiliki wa album hiyo, Kanye West amefunguka kuwa Album yake ya DONDA imeachiwa na kampuni ya Universal Music bila idhini yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kanyewest amewatuhumu Universal kuachia album hiyo wakati hajatoa baraka zake za mwisho na hii inatokana na wimbo wa Jail 2 kutowekwa kwenye album.

Inaonekana wajomba walichoka kupigwa danadana,Mitandaoni kuna utani unaendelea kuwa Drake kainunua Universal na yupo nyuma ya huu mchongo🤣

Follow @sajomedia kwa taarifa za burudani.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz