Breaking News: Gwajima, Silaa Waondolewa Kamati Maadili - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking News: Gwajima, Silaa Waondolewa Kamati Maadili
WABUNGE Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Mamlaka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo.

Kamati ambayo wabunge hao wameondolewa, ndiyo inayowahoji kuhusu tuhuma mbalimbali zinazowakabili, ambapo jana Askofu Gwajima alifika mbele ya kamati hiyo na kuhojiwa na leo ni zamu ya Slaa ambaye naye anatarajiwa kufika na kuhojiwa.

Agosti 21, mwaka huu, Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe (CCM) pamoja na Silaa, Mbunge wa Ukonga (CCM) waliitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz