Zimbabwe yatoa noti ya thamani ya juu zaidi - EDUSPORTSTZ

Latest

Zimbabwe yatoa noti ya thamani ya juu zaidi
Kuanzia Jumatano nchini Zimbabwe itasambazwa noti mpya ya dola 50, ikiwa ndio yenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutolea Zimbabwe tangu mwaka 2019.Dola 50 ya Zimbabwe ina thamani ya dola $0.60 sawa na Tsh 1391.40

Noti mpya ilizunduliwa Jumanne na benki kuu ilisema kuwa itasambaza dola milioni 360 za Zimbabwe kupitia benki.

Imetolewa huku nchi hiyo ikikabiliwa na mfumuko wa bei ambao umewafanya watu kutembea lundo la noti.

Noti mpya ina picha ya shujaa wa kupambana na ukoloni Mbuya Nehanda.

Zim Live imetuma ujumbe wa twitter:

JUST IN: Zimbabwe's central bank says to introduce new $50 note on Wednesday, saving the population from carrying wads of worthless currency pic.twitter.com/7TrOBZeQlQ

— ZimLive (@zimlive) July 6, 2021Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz