Papa Francis Awateua Watanzania Wawili - EDUSPORTSTZ

Latest

Papa Francis Awateua Watanzania Wawili






Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amewateua Padri Henry Mchamungu na Padri Stephano Musomba kuwa maaskofu wasaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

 

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima inaeleza kuwa kabla ya uteuzi huo, Padri Mchamungu alikuwa mwalimu na mlezi wa Seminari ya Segerea jijini Dar es Salaam huku Padri Musomba, akihudumu kama Paroko wa Parokia ya Mavurunza jijini Dar es Salaam na Katibu wa Shirika la Waagustiniani Kanda ya Tanzani






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz