Uvumi wa Karrueche Tran Kurudiana na Chris Brown..Karrueche Tran Afunguka - EDUSPORTSTZ

Latest

Uvumi wa Karrueche Tran Kurudiana na Chris Brown..Karrueche Tran Afunguka

Uvumi wa Karrueche Tran kurudiana na Chris Brown ulishika vichwa vya habari duniani wikendi iliyopita, hii ni baada ya wawili hao kuonekana wakiondoka pamoja katika eneo la Six Flags Mountain mjini Los Angeles.

Wengi walisema huwenda Chris Brown amerudiana na mrembo huyo ambaye amekuwa akimuhusudu kwa muda sasa. Muda huongea na Karrueche Tran akaamua kuifata kauli hiyo kwa kukanusha uvumi huo kupitia ukurasa wa The Shade Room hapa instagram. Aliandika;

"Kulikuwa na hafla hapo Six Flags kwa ajili ya filamu ya 'Space Jam' pia kulikuwa na watu wengine wengi." ----- aliandika Karrueche akimaanisha kwamba alifika pale kama miongoni mwa watu maarufu ambao walialikwa kutazama filamu ya Space Jam: A New Legacy.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz