Tujikumbushe: Juni 2016 Zungu Aliishauri Serikali Kuongeza TOZO Katika Miamala ya Simu - EDUSPORTSTZ

Latest

Tujikumbushe: Juni 2016 Zungu Aliishauri Serikali Kuongeza TOZO Katika Miamala ya SimuMbunge wa Ilala, Azzan Zungu amenukuliwa mara mbili akiwa bungeni akiishauri Serikali kuweka tozo kwenye miamala ya simu

Juni 14, 2016 aliongea haya Bungeni:

Miamala ya simu ni mikubwa hadi kufikia Tsh. Trilioni 50 kwa mwaka hivyo ni vyema kuwa na kodi ya uzalendo

Waheshimiwa Wabunge tusiwe na tabia ya kizamani ya kuona tukilipa kodi watu wanaumia, bila kodi Serikali hii haichapishi noti

…kodi hii naiunga mkono, Serikali iendelee na kodi zingine na kukamata mapato kwenye simu, we are losing a lot of revenue kwenye maeneo haya
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz