TARURA Wafunguka..Ni Kweli Daraja la Mto Mngeta Limetumia Tsh Milioni 31 - EDUSPORTSTZ

Latest

TARURA Wafunguka..Ni Kweli Daraja la Mto Mngeta Limetumia Tsh Milioni 31



Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero, Mhandisi Robert Magogo amesema ni kweli Daraja la Mto Mngeta limetumia Tsh. Milioni 31
-
Mhandisi Magogo amesema daraja hilo lina uwezo wa kudumu kwa miaka 10 hadi 15. Daraja hilo lina urefu wa Mita 40, na kufanya gharama za Daraja kuwa Tsh. Milioni 27
-
Pia, gharama ya barabara kuingia na kutoka Darajani ni Tsh. Milioni 4 na kufanya jumla yake iwe Tsh. Milioni 31

#JamiiForums




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz