Petitman wa Esma Platnumz Amchumbia Msichana Akiwa Leba Baada ya Kujifungua - EDUSPORTSTZ

Latest

Petitman wa Esma Platnumz Amchumbia Msichana Akiwa Leba Baada ya Kujifungua
Meneja wa msanii Young Lunya Petitman Wakuache amem-surprise mama wa mtoto wake Official Dodo baada ya kumvalisha pete ya uchumba katika chumba cha kujifungulia wajawazito leba.

Petitman Wakuache amepost video akimvalisha pete mpenzi wake akiwa leba huku akisindikiza caption inayosema ‘I love you Official Dodo mama yake Petit Junior’.

Petitman amefanya hivyo baada ya mpenzi wake huyo kujifungua mtoto wa kiume ambaye wamempa jina la Petit Junior siku ya jana baada ya kushea habari hizo kwenye page yake ya instagram.

Huyo anakuwa mtoto wa pili kwa Petitman baada ya Baby Taraj wakuache aliyempata akiwa na Esma Platnumz.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz