Serikali Yatoa Mwongozo Mpya Kupambana Na Corona - EDUSPORTSTZ

Latest

Serikali Yatoa Mwongozo Mpya Kupambana Na Corona

Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kujikinga na Corona kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ikiwemo kuvaa barakoa kwenye ofisi zote za serikali, shule na taasisi mbalimbali ikiwemo hospitali.

Muongozo huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo leo Julai 4, 2021, jijini Dodoma ambapo amesisitiza kuwa mamlaka zihakikishe kuna miundombinu ya maji tiririka, sabuni au vitakasa mikono ili wananchi, wanafunzi, wagonjwa waweze kuvitumia.

Aidha Prof. Makubi ameongeza kuwa mwongozo huo unatakiwa kufuatwa shuleni, vyuoni na kwenye taasisi mbalimbali za elimu na hospitali ikiwemo kuweka miundombinu inayowezesha kunawa mikono kwa maji tiririka pamoja na kuvaa barakoa muda wote.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz