Rapper Jay z Avaa Saa Yenye Thamani ya Bilioni 7 za kitanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Rapper Jay z Avaa Saa Yenye Thamani ya Bilioni 7 za kitanzania

 


NI Headlines za Mkali wa Hip Hop, Shawn Corey Carter maarufu kama  Jay-Z time hii ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuonekana akiwa amevaa saa yenye thamani ya Dolla ($3 million) ambayo kwa pesa ya kitanzania ni sawa Bilioni 7.

Staa huyo alionekana akiwa na saa hiyo Jumapili iliyopita Julai 4 katika sherehe ya mfanyabiashara aitwae Michael Rubin pamoja na watu wengine maarufu waliohudhuria hafla hiyo akiwemo Beyonce, Travis, J Balvin Quavo.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz