Rayvanny, Paula Mahaba live Bila Chenga...Sasa Rasmi Kajala ni Mama Mkwe - EDUSPORTSTZ

Latest

Rayvanny, Paula Mahaba live Bila Chenga...Sasa Rasmi Kajala ni Mama MkweMAMBO yamekwiva… hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa Bongo Fleva, Rayvanny na mpenzi wake ambaye ni mtoto wa staa wa Bongo Movie, Kajala Masanja aitwaye Paula wameonekana kwenye mahaba na bashasha la aina yake wakati wa hafla ya kusherehekea kumbukumbuku ya siku ya kuzaliwa kwa Paula.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz