"Nafurahi Ulichagua Rangi Tuliyokubaliana" Zari ajivunia Kusaidia Diamond Kuchagua Gari la Ndoto zake - EDUSPORTSTZ

Latest

"Nafurahi Ulichagua Rangi Tuliyokubaliana" Zari ajivunia Kusaidia Diamond Kuchagua Gari la Ndoto zakeGari hilo aina ya Roll Royce Cullinan 2021 lenye rangi ya buluu linakadiriwa kuwa na thamani isiyopungukia shilingi milioni hamsini.
Muhtasari
•Akitangaza mafanikio hayo kwenye mtandao wa Instagram siku ya Jumatano, staa huyo alionyesha video akiwa amekalia gari lake mpya aina ya Roll Royce Cullinan 2021.

•Akitangaza mafanikio hayo kwenye mtandao wa Instagram siku ya Jumatano, staa huyo alionyesha video akiwa amekalia gari lake mpya aina ya Roll Royce Cullinan 2021.

Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo aina ya Bongo Flava, Diamond Platinumz ameongeza gari jipya kwenye gereji yake.

Akitangaza mafanikio hayo kwenye mtandao wa Instagram siku ya Jumatano, staa huyo alionyesha video akiwa amekalia gari lake mpya aina ya Roll Royce Cullinan 2021.

"Nimepokea Rolls Royce Cullinan 2021 yenye haijasafiri hata kilomita moja leo. Ni siku yenye baraka aje leo" Diamond aliandika.

Kwenye video ambayo Diamond alipakia, magari mengine sita makubwa yalionekana

Gari hilo lenye rangi ya buluu linakadiriwa kuwa na thamani isiyopungukia milioni hamsini.

Wanamitandao wakiwemo watu mashuhuri walijumuika kumpongeza Diamond kwa kufanikiwa kununua gari la ndoto zake.

Ujumbe ambao ulisisimua wanamitandao wengi ni wa aliyekuwa mpenzi wake Zari Hassan.

Ujumbe wa Zari ulifichua kuwa alimpatia ushauri kuhusu rangi ya gari hilo

"Nafurahi kuwa ulichagua rangi ambayo tulikubaliana. Hongera" Zari alisema.

Tazama jumbe zingine za pongezi chini ya chapisho la Diamond

View this post on Instagram
A post shared by SIMBA..!🦁 (@diamondplatnumz)

Licha ya kutengana miaka mitatu iliyopita, Diamond na Zari wameonekana kuwa na uhusiano mwema huku wakipongezana hadharani kwa mafanikio ya mwingin

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz