Ray Kigosi Aamua Kufungua Mdomo Wimbi Kubwa la Masista Du wa Mjini Kuzaa Watoto - EDUSPORTSTZ

Latest

Ray Kigosi Aamua Kufungua Mdomo Wimbi Kubwa la Masista Du wa Mjini Kuzaa Watoto

 


AMEANDIKA VICENT KIGOSI

MAISHA YANAENDA KASI SANA NAKUMBUKA ZAMANI UKIMFATA MWANAMKE KUOMBA KUZAA NAYE UTAMSIKIA.. UJANA WAKO ULE WAPI? ALAFU UJE KUNIZEESHA MTOTO WA WATU, TAFUTA WA KUMZEESHA ILA SIO MM.

ILA CHA KUSHANGAZA KWA SASA KILA KUKICHA UNASIKIA MWANAMKE FLANI WA MJINI KAZAA. JE? IMEKUWA FASHION AU WAMEPATWA NA NN HAWA DADA ZETU? EBU NISAIDIENI WADAU.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz